Mtunzi: Bernard Mukasa
> Mfahamu Zaidi Bernard Mukasa
> Tazama Nyimbo nyingine za Bernard Mukasa
Makundi Nyimbo: Mazishi
Umepakiwa na: Elias Mazawa
Umepakuliwa mara 1,466 | Umetazamwa mara 3,829
Download Nota Download MidiMREHEMU LIMILA
KIITIKIO
Yesu mwenye huruma, mrehemu Limila, juu Mbinguni uliko umpokee.
MASHAIRI
1. Siku ulizomkadiria zimekwisha zimeisha, usimwache aende zake, umpokee.
2. Alishiriki ufufuko kwa ubatizo mtakatifu, mkamilishie ufufuko, umpokee.
3. Alikuimbia nyimbo, aliliimba Jina lako, akuimbie na mbinguni, umpokee.
4. Moyowe ulipozimika, siku zake zikakoma, alijiandaa tayari, umpokee.
5. Alipoliona kaburi alikutumainia, alikuita umwokoe, umpokee.
6. Siku tutakapomaliza safari yetu na sisi, tuungane naye mbinguni, utupokee.