Ingia / Jisajili

Njooni Tusememezane

Mtunzi: Nivard S Mwageni
> Mfahamu Zaidi Nivard S Mwageni
> Tazama Nyimbo nyingine za Nivard S Mwageni

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Tenzi za Kiswahili

Umepakiwa na: Nivard Silvester

Umepakuliwa mara 783 | Umetazamwa mara 2,911

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Njooni njoni, njooni njoni,  njooni njoni tusemezane x2 Njoo (njoo, njoo) njooni tusemezane, asema Bwana x2

1. Dhambi zenu zijapokuwa nyekundu sana, zitakuwa nyeupe kama theluji

2. Kama mkikubali na kutii, mtakula mema ya nchi (bali) kama mkikataa na kuasi mtaangamia kwa upanga, maana kinywa cha Bwana kimenena haya.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa