Mtunzi: David B. Wasonga
> Mfahamu Zaidi David B. Wasonga
> Tazama Nyimbo nyingine za David B. Wasonga
Makundi Nyimbo: Kwaresma | Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: David Wasonga
Umepakuliwa mara 1,190 | Umetazamwa mara 4,561
Download Nota Download MidiKiitikio:
Imeandikwa ya kwamba " mtu hataishi kwa mkate peke yake" [x2]
Ila kwa kila neno litokalo kinywani mwa Mungu, ila kwa kila neno litokalo kinywani mwa Mungu [2]
Mashairi:
1. Naye ibilisi akamjaribu Yesu akamwambia ; ukiwa ndiwe mwana wa Mungu, ukiwa ndiwe mwana wa Mungu yaamuru mawe haya yawe mikate, Yesu akajibu akasema...[kiitikio...]
2.Imeandikwa ya kwamba usimjaribu Bwana Mungu wako, tena imeandikwa msujudie Bwana Mungu wako, umwabudu yeye peke yake kwa moyo wako wote.