Mtunzi: David B. Wasonga
> Mfahamu Zaidi David B. Wasonga
> Tazama Nyimbo nyingine za David B. Wasonga
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Shukrani
Umepakiwa na: David Wasonga
Umepakuliwa mara 1,340 | Umetazamwa mara 4,584
Download Nota Download MidiKiitikio:
Mungu kweli ni mwema, Mungu kweli ni mwema,
Mashairi:
i.ametulinda mwaka mzima Mungu kweli ni mwema, Mungu kweli ni mwema
ii. ametulisha mwaka mzima Mungu kweli ni mwema, Mungu kweli ni mwema
iii. ametuvisha mwaka mzima Mungu kweli ni mwema, Mungu kweli ni mwema.
Bridge:
Inatupasa kumshukuru kwa kutulinda mwaka mzima, katuepusha na ajali nyingi, mwaka mzima katuweka salama, Mungu kweli ni mwema, Mungu kweli ni mwema, Mungu kweli ni mwema ametulinda mwaka mzima.