Mtunzi: David B. Wasonga
> Mfahamu Zaidi David B. Wasonga
> Tazama Nyimbo nyingine za David B. Wasonga
Makundi Nyimbo: Anthem
Umepakiwa na: David Wasonga
Umepakuliwa mara 2,606 | Umetazamwa mara 3,759
Download NotaMashairi(Soprano/Solo)
1. Kuelekea uchaguzi mkuu wa uraisi na wabunge, wa-Tanzania tuamke tunapowachagua viongozi wetu
2. Tanzania yenye amani inawezekana kama tukiwachagua viongozi wenye hofu na Mungu
Bridge/Kiunganishi:
(Tukachague viongozi safi wenye uadilifu) watakaosimamia tunu za nchi yetu
Kiitikio(wote/tutti):
Tunahitaji viongozi makini, tunahitaji viongozi wacha Mungu,tunahitaji viongozi wazalendo kuijenga Tanzania,Tanzania itajengwa na viongozi wazalendo wenye hofu na Mungu,Tanzania itajengwa na viongozi wenye uadilifu ili kudumisha utulivu pia umoja na mshikamano kwani ndizo tunu zetu waTanzania, hivi vyote vitaletwa na viongozi tutakaowachagua.