Mtunzi: David B. Wasonga
> Mfahamu Zaidi David B. Wasonga
> Tazama Nyimbo nyingine za David B. Wasonga
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: David Wasonga
Umepakuliwa mara 2,478 | Umetazamwa mara 7,510
Download NotaChorus
Ee Mungu, Mungu wangu moyo wangu u thabiti (thabiti), nitaimba,nitaimba zaburi. Kwa utukufu wako,nitakuimbia zaburi,nitaamka alfajiri nikusifu wewe Mungu wangu.
Mashairi
1. Amka ewe kinanda,amka ewe kinubi, Naam; Amka umsifu Mungu wako.
2.Maana fadhili zako ni kubwa kuliko mbinguni, na uaminifu wako umeenea mawinguni
3. E Mungu nitakukutukuza kati ya Watu,kati ya Mataifa nitaimba zaburi