Mtunzi: David B. Wasonga
> Mfahamu Zaidi David B. Wasonga
> Tazama Nyimbo nyingine za David B. Wasonga
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: David Wasonga
Umepakuliwa mara 3,290 | Umetazamwa mara 7,008
Download Nota Download MidiKiitikio:
Nitakushukuru kwa moyo wangu wote, nitakushukuru kwa moyo wangu wote. Mbele ya miungu nitakuimbia zaburi, nitasujudu nililikabiri hekalu lako Takatifu.
Mashairi:
1. Nitalishukuru jina lako kwa ajili ya fadhili zako, nitalishukuru jina lako kwa ajili ya fadhili zako, na kwa ajili ya uaminifu wako uaminifu wako.
2. Nilipokulilia ulinijibu, nilipokulilia ulinijibu, nilipokulilia ulinijibu.
3. Wafalme wa dunia watakusifu, wafalme wa dunia watakusifu, watakusifu kwa kuwa wamesikia maneno yako.
4. Ndipo wataimba sifa na matendo yako, ndipo wataimba sifa na matendo yako kwa maana utukufu wako ni mkuu sana.
5. Ee Mungu, Ee Mungu utatimiza yote uliyoahidi, Ee Mungu Ee Mungu utatimiza yote uliyoahidi, fadhili zako fadhili zako zikae nasi daima.