Mtunzi: Peter.g.lulenga
> Mfahamu Zaidi Peter.g.lulenga
> Tazama Nyimbo nyingine za Peter.g.lulenga
Makundi Nyimbo: Mwanzo
Umepakiwa na: Geophrey Lulenga
Umepakuliwa mara 1,215 | Umetazamwa mara 3,068
Download Nota Download MidiKIITIKIO:Njoni tuabudu tusujudu x 2,tupige magoti mbele za Bwana mbele za Bwana aliyetuumba x2.
MASHAIRI
1.Njoni tumwimbie tumwimbie Bwana, tumfanyie shangwe mwamba wa wokovu wetu.
2.Tuje mbele zake tuje kwa shukrani,tumfanyie shangwe kwa zaburi.
3.Ingekuwa heri msikie sauti yake msifanye migumu mioyo yenu.