Ingia / Jisajili

Mungu Amepaa

Mtunzi: Wilhelm A. Kiwango (W. Kiwango)
> Mfahamu Zaidi Wilhelm A. Kiwango (W. Kiwango)
> Tazama Nyimbo nyingine za Wilhelm A. Kiwango (W. Kiwango)

Makundi Nyimbo: Kupaa kwa Bwana | Zaburi

Umepakiwa na: Willy Kiwango

Umepakuliwa mara 91 | Umetazamwa mara 288

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Kupaa kwa Bwana

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Kiitikio:Mungu Amepaa kwa kelele za Shangwe Bwana kwa sauti ya baragumu. Mashairi 1.Enyi watu wote pigeni makofi, mpigieni Mungu kelele kwa sauti ya shangwe. 2.Kwa kuwa Bwana aliye juu, mwenye kuogofya ndiye mfalme juu ya dunia yote. 3.Maana Mungu ndiye mfalme, wa dunia yote imbeni kwa akili.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa