Ingia / Jisajili

Tazameni Ni Pendo La Namna Gani

Mtunzi: Wilhelm A. Kiwango (W. Kiwango)
> Mfahamu Zaidi Wilhelm A. Kiwango (W. Kiwango)
> Tazama Nyimbo nyingine za Wilhelm A. Kiwango (W. Kiwango)

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Ubatizo

Umepakiwa na: Willy Kiwango

Umepakuliwa mara 75 | Umetazamwa mara 200

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Tazameni ni Pendo, Ni pendo la namna gani alilotupa Mungu x2. Kwamba tuitwe wana wa Mungu na ndivyo tulivyo! Wapenzi sasa tu wana wa Mungu, Tazameni ni pendo alilotupa Mungu Mashairi: 1.Mkavae utu mpya ulioumbwa kwa namna ya Mungu katika haki na utakatifu wa kweli. 2.Bwana Mungu asema hivi: Nitawatwaa katika mataifa, nami nitawakusanya na kuwatoa katika nchi zote na kuwarudisha katika nchi yenu wenyewe. 3. Na kila mwenye matumaini haya katika yeye hujitakasa kama yeye alivyo mtakatifu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa