Ingia / Jisajili

Enyi Watu Wote Pigeni Makofi

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Mwanzo | Zaburi

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 184 | Umetazamwa mara 290

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 13 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 13 Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 13 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Enyi watu wote pigeni makofi pigeni makofi X2

Mpigieni Mungu kelele mpigieni Mungu kelele mpigieni Mungu kelele kwa sauti ya shangwe X2

1. Kwa kuwa Bwana aliye juu ni mwenye kuogofya ndiye mfalme mkuu juu ya dunia yote

2. Atawatiisha atawatiisha watu wa nchi chini yetu na mataifa chini ya miguu yetu

3. Atatuchagulia atatuchagulia urithi wetu fahari ya Yakobo aliyempenda

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa