Ingia / Jisajili

Mwimbieni Bwana Wimbo Mpya

Mtunzi: Thomas P. Bingi
> Mfahamu Zaidi Thomas P. Bingi
> Tazama Nyimbo nyingine za Thomas P. Bingi

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: THOMAS PATRICK

Umepakuliwa mara 694 | Umetazamwa mara 1,862

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Mwimbieni Mwimbieni Mwimbieni Bwana mwimbieni bwana nchi yote. Heshima na adhama ziko mbele zake nguvu na uzuri zimo katika patakatifu pake. Shairi. Mwimbieni Bwana libarikini jina lake, tangazeni wokovu wake siku kwa siku

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa