Ingia / Jisajili

Wafurahi Watakatifu

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Watakatifu

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 351 | Umetazamwa mara 1,028

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Wafurahi Watakatifu huko mbinguni waliofuata nyayo ya Kristo X2

Kwa ajili ya kumpenda wakamwaga damu yao ndiyo maana sasa wanatukuka bila mwisho pamoja na Kristo X2

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa