Mtunzi: Reuben Maghembe
> Tazama Nyimbo nyingine za Reuben Maghembe
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio | Shukrani | Zaburi
Umepakiwa na: Reuben Maghembe
Umepakuliwa mara 476 | Umetazamwa mara 1,951
Download Nota Download Midi
Kiitikio
Nakushukuru
Ee Baba Bwana wa mbingu na nchi kwa kuwa mambo haya uliwaficha wenye hekima na
akili ukawafunulia watoto wachanga *2
Naam
Ee Baba ndiyo ilivyokupendeza mbele zako *2
Beti
1. Yesu asema nimekabidhiwa yote na
Baba yangu wala hakuna amjuaye Baba ila Mwana
2. Njoni kwangu ninyi nyote msumbukao
na wenye kulemewa na mizigo njoni name nitawapumzisha
3. Jitieni nira yangu na mjifunze
kwangu kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo