Mtunzi: Reuben Maghembe
> Tazama Nyimbo nyingine za Reuben Maghembe
Makundi Nyimbo: Pasaka
Umepakiwa na: Reuben Maghembe
Umepakuliwa mara 728 | Umetazamwa mara 2,143
Download Nota Download MidiKiitikio
Leo amefufuka Mwokozi Yesu ameshinda mauti. Ni mshindi aliyeshinda kifo hafi tena *2
Kaburini sasa hayumo, ametoka sasa ni mzima, njoni twimbe sote tufurahi na tumshangilie
Tucheze na ngoma za kikwetu tumwimbie Mwokozi Yesu Kristu aliyehai *2
Mashairi
1. Mariam Magdalena alikwenda kaburini alikuta lile jiwe limeondolewa pale langoni mwa kaburi.
2. Ile siku ya tatu Bwana Yesu akafufuka kama vile alivyosema mwenyewe kama alivyo sema
3. Baada ya mateso ushindi wake Bwana Yesu ufufuko na uzima vimetushukia sasa nasi tutafurahi