Mtunzi: Reuben Maghembe
> Tazama Nyimbo nyingine za Reuben Maghembe
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Reuben Maghembe
Umepakuliwa mara 579 | Umetazamwa mara 2,795
Download Nota Download MidiKiitikio : Siku hii ndiyo aliyoifanya Bwana. Tutashangilia na kufurahia siku hii *2.
Mashairi:
1. Siku hii ndiyo aliyoifanya Bwana, tutaishangilia, tutashangilia na kuimba aleluya aleluya.
2. Mshukuruni Bwana kwa kuwa yeye ni mwema. Mshukuruni Bwana, kwa maana fadhili zake ni fadhili za milele.
3. Mkono wa kuume mkono wa Bwana umetukuzwa. Mkono wake Bwana, mkono wa kuume wake Bwana huyatenda makuu.