Mtunzi: Reuben Maghembe
> Tazama Nyimbo nyingine za Reuben Maghembe
Makundi Nyimbo: Zaburi | Pasaka
Umepakiwa na: Reuben Maghembe
Umepakuliwa mara 890 | Umetazamwa mara 2,431
Download Nota Download MidiKIITIKIO
Nchi imejaa nchi imejaa fadhili zake Bwana *2
Kwa kuwa neno la Bwana neno la Bwana ni la adili Na kazi yake yote huitenda kwa uaminifu *2
BETI
1 1. Hupenda haki na hukumu huzipenda haki a)nchi yote imejaa fadhili za Bwana
b) nchi yote imejaa fadhili zake
2. Kwa neno lake Bwana Mungu mbingu zilifanyika a) na jeshi lake kwa pumzi za kinywa chake
b) na jeshi lake lote kwa pumzi za kinywa chake
3. Hukusanya maji ya bahari chungu chungu a)huviweka vilindi katika ghala
b) huviweka vilindi vyote katika ghala
4. Heri taifa amalo Bwana ni Mungu wao a) watu aliowachagua wartithi wake
b) wale aliowachagua kwa urithi wake