Ingia / Jisajili

Nampenda Bwana

Mtunzi: Adolf A. Katambi
> Mfahamu Zaidi Adolf A. Katambi
> Tazama Nyimbo nyingine za Adolf A. Katambi

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Zaburi

Umepakiwa na: Adolf A. Katambi

Umepakuliwa mara 130 | Umetazamwa mara 270

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
NAMPENDA BWANA KIITIKIO Haleluya Haleluya nampenda Bwana kwa kuwa ananisikiliza sauti yangu sauti na dua zangu. x 2 Kwa maana amenitegea sikio lake kwa hiyo kwa hiyo nitamwita siku zangu zote x2 MASHAIRI 1. Kamba za mauti za mauti zilinizunguka shida za kuzimu zilinipata zilinipata niliona tabu niliona tabu na huzuni tabu na huzuni. 2. Nikaliitia jina la Bwana Ee Bwana uniokoe uniokoe Ee Bwana wangu uniokoe uniokoe uniokoe nafsi yangu uniokoe nafsi yangu. 3. Bwana ni mwenye Neema mwenye Neema na haki Naam Mungu ni mwenye rehema Bwana huwalinda wasio na hila nalidhilika akaniokoa akaniokoa.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa