Mtunzi: Adolf A. Katambi
> Mfahamu Zaidi Adolf A. Katambi
> Tazama Nyimbo nyingine za Adolf A. Katambi
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Adolf A. Katambi
Umepakuliwa mara 161 | Umetazamwa mara 498
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Antifona / Komunio Dominika ya 4 Mwaka A
- Antifona / Komunio Dominika ya 4 Mwaka B
- Antifona / Komunio Dominika ya 4 Mwaka C
Heri walio maskini wa roho maana hao maana hao maana ufalme wa Mbinguni ni wao. x 2
MASHAIRI
1. Heri heri maskini wa roho, maana ufalme wa mbinguni ufalme ni wao.
2. Heri heri wenye upole, maana watairithi nchi watairithi nchi.