Mtunzi: Valentine Ndege
> Mfahamu Zaidi Valentine Ndege
> Tazama Nyimbo nyingine za Valentine Ndege
Makundi Nyimbo: Noeli
Umepakiwa na: Mika Wihuba
Umepakuliwa mara 841 | Umetazamwa mara 2,314
Download NotaZasikika sauti, pande zote za dunia, Vigelegele hoihoi nazo nyimbo za furaha, Mwokozi wa dunia, Bwana wetu Yesu Kristu, amezaliwa amelazwa horini na mama Maria. (Mbiombio, mbiombio twende pangoni, tuchukue na zawadi tukampe Bwana.x2)