Mtunzi: Valentine Ndege
> Mfahamu Zaidi Valentine Ndege
> Tazama Nyimbo nyingine za Valentine Ndege
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: Mika Wihuba
Umepakuliwa mara 646 | Umetazamwa mara 1,963
Download Nota Download MidiNatembea kwa heshima na sadaka mkononi, nikatoe sadaka yangu ile niliyoindaa x2 Twende twende twende ndugu yangu twende tukatoe sadaka yangu kwake Mungu wetu x2.
1.Simama simama tembea kwa malingo na sadaka yako mkononi ukampe Bwana.
2.Magonjwa ajali Bwana kakuepusha inuka shika sadaka yako ukampe Bwana.
3.Utoe kwa moyo tena kwa ukarimu hima shika sadaka yako ukampe Bwana.