Ingia / Jisajili

Neema Ya Roho Mtakatifu

Mtunzi: John Mgandu
> Tazama Nyimbo nyingine za John Mgandu

Makundi Nyimbo: Pentekoste

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 6,053 | Umetazamwa mara 11,842

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Neema ya Roho Mtakatifu iko na nguvu na uweza wa kutuhakikishia sisi kwamba ana uwezo kusafisha dhambi zetu kusafisha dhambi zetu x 2

  1. Na kutuunganisha sisi na Mungu kwa njia ya imani, imani kwa Yesu Kristu kwa njia ya Ubatizo.

  2. Kwa njia ya Roho Mtakatifu tunashiriki mateso, mateso ya Yesu Kristu kwa kuifia dhambi.

Maoni - Toa Maoni

Jonas Jan 08, 2018
Sawa

Peter Joseph Mwiga Jun 09, 2016
Pongezi kwa mtunzi MUNGU akubariki sana.

Toa Maoni yako hapa