Ingia / Jisajili

Nikitazama Pande Zote Za Dunia

Mtunzi: David B. Wasonga
> Mfahamu Zaidi David B. Wasonga
> Tazama Nyimbo nyingine za David B. Wasonga

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: David Wasonga

Umepakuliwa mara 1,587 | Umetazamwa mara 6,538

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kiitikio:

Nikitazama pande zote, pande za dunia,nikiinua macho yangu niitazame dunia; naiona kazi tukufu,kazi ya mikono yako (x 2)

Mashairi:

  1. Wewe Bwana hakika wavipenda vitu vyote, wavipenda vitu vyote, vitu vyote vilivyomo, vitu vyote vilivyomo ni kazi yako tukufu
  2. Wala hukichukii chochote ulichokiumba, wala hukichukii chochote ulichokiumba, kwani hivyo vyote ni kazi ya mikono yako. 
  3. Kaskazini na kusini mashariki hata magharibi,pande zote za dunia zadhihirisha utukufu wako,zadhihirisha utukufu wako,utukufu wa kazi yako
  4. Jinsi jina lako lilivyo tukufu ndivyo kazi ya mikono yako ilivyotukuka duniani, kazi ya mikono yako imetukuka duniani kote.

Maoni - Toa Maoni

Boris Apr 27, 2021
Nyimbo hii ni nzuri tatizo ni moja haipatikani kwenye YouTube ?

lucas ngassa Sep 30, 2016
Wasonga mungu azid kukupa ufanis zaid kwa kpaji alchokujalia,uko vzr kaka

Toa Maoni yako hapa