Ingia / Jisajili

Inueni Vichwa Vyenu Enyi Malango

Mtunzi: David B. Wasonga
> Mfahamu Zaidi David B. Wasonga
> Tazama Nyimbo nyingine za David B. Wasonga

Makundi Nyimbo: Matawi

Umepakiwa na: David Wasonga

Umepakuliwa mara 3,328 | Umetazamwa mara 6,693

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya Matawi

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kiitikio:(Zab 24: 7,9 & 10

Inueni vichwa vyenu enyi malango Mfalme wa utukufu apate kuingia x2 // Yeye ndiye Mfalme mtukufu, yeye ndiye mfalme mtukufu, ndiye mfalme mtukufu mfalme mtukufu x2//

Mashairi: (Zab 24:1, 2 & 8)

1. Yeye ni mfalme yeye ni bwana wa majeshi, bwana hodari wa vita, ni mfalme, ni mfalme ni mfalme wa utukufu

2. Nchi na viijazavyo vyote ni mali ya bwana, dunia na vyote wakaao ndani yake, wote ni mali ya bwana, wote ni mali ya bwana

3. Maana ameiweka misingi yake juu ya bahari, maana ameiweka misingi yake juu ya bahari na juu ya mito ya maji aliithibitisha.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa