Ingia / Jisajili

Nimekukimbilia Bwana

Mtunzi: Apolinary A. Mwang'enda
> Mfahamu Zaidi Apolinary A. Mwang'enda
> Tazama Nyimbo nyingine za Apolinary A. Mwang'enda

Makundi Nyimbo: Kwaresma

Umepakiwa na: Mika Wihuba

Umepakuliwa mara 357 | Umetazamwa mara 1,253

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Nimekukimbilia (Wewe Bwana) nisiaibike, nisiabike milele. x2

Mashairi:

  • 1.    Kwa haki yako uniponye, uniokoe unitegee sikio lako uniokoe.
  • 2.    Ee Mungu wangu uniopoe, uniopoe mikononi mwa wakorofi wanizungukao.
  • 3.    Umeamuru niokolewe, kwa maana wewe ndiwe genge langu na ngome yangu.
  • 4.    Nimekuwa kitu cha ajabu kwa watu wengi, na wewe ndiwe kimbilio langu na nguvu yangu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa