Mtunzi: Apolinary A. Mwang'enda
> Mfahamu Zaidi Apolinary A. Mwang'enda
> Tazama Nyimbo nyingine za Apolinary A. Mwang'enda
Makundi Nyimbo: Pasaka
Umepakiwa na: APOLINARY MWANG'ENDA
Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0
Download Nota Download MidiAleluya Mwokozi kafufuka ameshinda mauti kaburini hayumo njoni tumshangilie x2
BETI
1. Tuna haki kufurahi leo kwani unabii umetimia leo hii aleluya
2. kafufuka kweli aleluya utukufu una yeye milele milele aleluya
3. kamshinda adui shetani ametuletea wokovu milele aleluya