Ingia / Jisajili

Roho Ndiyo Itiayo Uzima

Mtunzi: Erick Mwaniki
> Tazama Nyimbo nyingine za Erick Mwaniki

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Shukrani | Zaburi

Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata

Umepakuliwa mara 199 | Umetazamwa mara 735

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
ROHO NDIYI ITIAYO UZIMA Roho ndiyo, itiayo uzima, itiayo uzima, mwili haufai kitu, mwili haufai kitu *2 Maneno hayo, manenyo hayo, niliyowaambia, niliyowaambia, ni roho tena ni uzima *2 1. Sheria ya Bwana ni kamilifu, huiburudisha huiburudisha nafsi Ushuhuda wa Bwana ni amini, humtia mjinga hekima 2. Maagizo ya Bwana ni ya adili, huufurahisha huufurahisha moyo Amri ya Bwana ni safi, huyatia macho nuru 3. Kicho cha Bwana ni kitakatifu, kinadumu milele, kinadumu milele Hukumu za Bwana ni kweli, zina haki kabisa 4. Maneno ya Kinywa changu, na mawazo ya moyo ya moyo wangu Yapate kibali mbele zako ee Bwana, mwamba wangu na mwokozi wangu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa