Mtunzi: David B. Wasonga
> Mfahamu Zaidi David B. Wasonga
> Tazama Nyimbo nyingine za David B. Wasonga
Makundi Nyimbo: Pasaka
Umepakiwa na: David Wasonga
Umepakuliwa mara 2,370 | Umetazamwa mara 6,256
Download Nota Download MidiKiitikio:
Basi mkiwa mmefufuliwa pamoja na Kristo yatafuteni yaliyo juu yatafuteni yaliyo juu aliko Kristox2//
Mashairi:
1. Maana huko ndiko alikoketi ameketi kuume, kuume kwa baba.
2. Daima myatamanie yale ya mbinguni, msisumbuke na ya dunia kwakuwa Kristo yu hai.