Mtunzi: David B. Wasonga
> Mfahamu Zaidi David B. Wasonga
> Tazama Nyimbo nyingine za David B. Wasonga
Makundi Nyimbo: Majilio
Umepakiwa na: David Wasonga
Umepakuliwa mara 1,727 | Umetazamwa mara 4,862
Download NotaKiitikio:
Masiha njoo, Masiha wetu njoo, njoo, njoo, njoo kutuokoa, njoo,njoo, njoo,njoo kutuokoa (x 2)
Mashairi :
1. Nafsi zetu zinakungojea kwa shauku kubwa, usiku na mchana zinakungojea wewe, njoo, njoo, njoo kuziokoa.
2. Fanya hima uje kutuokoa utumwani, uje kututoa utumwani mwa shetani, uje na enzi, uje kutuokoa.