Mtunzi: David B. Wasonga
> Mfahamu Zaidi David B. Wasonga
> Tazama Nyimbo nyingine za David B. Wasonga
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: David Wasonga
Umepakuliwa mara 1,372 | Umetazamwa mara 4,743
Download Nota Download MidiKiitikio:
Njoni Kwangu ninyi nyote msumbukao na wenye kuelewa na mizigo nami nitawapumzisha.
Jitieni nira yangu mjifunze toka kwangu, kwakuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo, nanyi mtapata raha nafsini mwenu kwa maana nira yangu ni laini na mzigo wangu ni mwepesi.
Mashairi:
1. Nimekabidhiwa vyote na baba yangu wala hakuna amjuaye mwana ila baba, wala hakuna amjuaye baba ila mwana na yeyote ambaye baba apenda kumfunulia.
2.Nakushukuru baba bwana wa mbingu na nchi kwakuwa mambo haya uliwaficha wenye hekima na ukawafunulia watoto wachanga.