Mtunzi: Valentine Ndege
> Mfahamu Zaidi Valentine Ndege
> Tazama Nyimbo nyingine za Valentine Ndege
Makundi Nyimbo: Kristu Mfalme | Mafundisho / Tafakari | Watakatifu
Umepakiwa na: Mika Wihuba
Umepakuliwa mara 635 | Umetazamwa mara 2,301
Download Nota Download MidiMfalme (Yesu Kristo ni) Mfalme Bwana Bwana wetu Yesu Kristo ni Mungu wenye nguvu Baba wa milele ni mfalme wa amani n mfalme wa amni x2. Yesu mfalme wa amani, Salama rohoni mwangu, amani ya moyo wangu, Faraja ya roho yangu, Furaha ya moyo wangu, na amani rohoni mwangu. x2.