Mtunzi: Valentine Ndege
> Mfahamu Zaidi Valentine Ndege
> Tazama Nyimbo nyingine za Valentine Ndege
Makundi Nyimbo: Kupaa kwa Bwana
Umepakiwa na: Mika Wihuba
Umepakuliwa mara 463 | Umetazamwa mara 1,694
Download Nota Download MidiMungu amepaa kwa kelele za shangwe, Bwana kwa sauti ya baragumu x2
1.Enyi watu wote pigeni makofi mpigieni Mungu kelele kwa sauti ya shangwe.
2.Kwa kuwa Bwana aliye juu ni mwenye kuogofya, ndiye mfalme mkuu juu ya dunia yote.
3.Mungu amepaa kwa kelele za shangwe, Bwana kwa sauti sauti ya baragumu, mwimbieni Bwana naam imbeni, mwimbieni mfalme wetu naam imbeni.
4.Maana Mungu ndiye mfalme wa dunia yote, imbeni kwa akili, Mungu awamiliki mataifa, Mungu ameketi katikati chake kitakatifu.