Mtunzi: Kennedy Mulwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Kennedy Mulwa
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: Kennedy Mulwa
Umepakuliwa mara 1,556 | Umetazamwa mara 4,641
Download Nota Download MidiPOKEA SADAKA
Pokea sadaka tunayokutolea x2
1. Ee Mungu Baba tunakutolea mkate, upokee zawadi
2. Ee Mungu Baba tunakutolea divai, upokee zawadi
3. Ee Mungu Baba tunakutolea sadaka, upokee zawadi
4. Ee Mungu Baba tunakutolea na fedha, upokee zawadi
5. Ee Mungu Baba tunakutolea mazao, upokee zawadi
6. Ee Mungu Baba tunakutolea na shukrani, upokee zawadi