Ingia / Jisajili

Twende Sote

Mtunzi: Kennedy Mulwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Kennedy Mulwa

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Kennedy Mulwa

Umepakuliwa mara 606 | Umetazamwa mara 3,249

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

TWENDE SOTE

Twende(ni) sote (kwa) karamuye Yesu Kristu ametwalika twendeni x2

  1. Mwili wake Yesu ni chakula kweli, ametwalika twendeni
  2. Damu yake Yesu ni chakula kweli, ametwalika twendeni
  3. ‘leni mwili wangu uwe ukumbusho, ametwalika twendeni
  4. ‘nyweni damu yangu iwe ukumbusho, ametwalika twendeni
  5. Yesu Kristu ndiye mwanga na ukweli, ametwalika twendeni
  6. Yesu Kristu ndiye mlango wa Mbingu, ametwalika twendeni
Nyimbo nyingine za mtunzi huyu

Maoni - Toa Maoni

Mraga Tonny Jun 06, 2024
Kazi safi ndugu

Toa Maoni yako hapa