Ingia / Jisajili

Roho Ya Yesu

Mtunzi: Kennedy Mulwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Kennedy Mulwa

Makundi Nyimbo: Moyo Mtakatifu wa Yesu | Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Kennedy Mulwa

Umepakuliwa mara 1,095 | Umetazamwa mara 5,370

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

ROHO YA YESU

Roho ya Yesu, itutakase

Mwili wa Yesu, utuokoe

Damu ya Yesu, ituchangamshe

Maji ya ubavu, yatusafishe

Mateso yako, 'tutie nguvu

Jeraha zako, maficho yetu

Tusitengane, nawe ee Yesu

Bali tukinge, na yule mwovu

Saa ya kufa, tuite kwako

Tukutukuze, mwokozi wetu

Pamoja nao wateuleo

Tukusifu we', milele yote

Nyimbo nyingine za mtunzi huyu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa