Mtunzi: Haule Alfonce Innocent
> Tazama Nyimbo nyingine za Haule Alfonce Innocent
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: Alfonce Haule
Umepakuliwa mara 688 | Umetazamwa mara 2,456
Download Nota Download MidiKiitikio:
Sadaka yangu ya kweli, na Moyo wenye toba, naileta mbele yako, ipokee Baba X2
Ifanye kuwa shukrani, kwa wema wako kwangu, naileta mbele yako, ipokee Baba. X2
1. Naileta, sala yangu, naleta moyo wangu, nipokee, Mungu wangu Unibariki.
2. Natolea, kazi zangu, naleta pato langu, Ubariki, Mungu wangu ikupendeze.
3. Ifanane, na sadaka, yake Melkizedeki. Iwe safi kama moshi, waubani.