Ingia / Jisajili

Twendeni Wote Kwa Bwana

Mtunzi: Haule Alfonce Innocent
> Tazama Nyimbo nyingine za Haule Alfonce Innocent

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Alfonce Haule

Umepakuliwa mara 339 | Umetazamwa mara 1,290

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
KIITIKIO: Twendeni wote kwake Bwana (Tukatoe) tukatoe sadaka zetu, Yeye ndiye Mungu aliyetuumba X 2 MABETI 1. Fedha na mifugo yetu, twaileta kwako, ni kazi ya mikono yetu twaomba pokea Baba 2. Mkate pia na Divai, tunaleta kwako, Mazao ya mashamba yetu twaomba pokea Baba. 3. Mioyo pia Nafsi zetu, twazileta kwako, Shukrani za Mioyo yetu twaomba pokea Baba.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa