Mtunzi: David B. Wasonga
> Mfahamu Zaidi David B. Wasonga
> Tazama Nyimbo nyingine za David B. Wasonga
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: David Wasonga
Umepakuliwa mara 1,116 | Umetazamwa mara 4,013
Download Nota Download MidiKiitikio:
Enyi mnaomcha Mungu siku zote endeleeni kumcha yeye bila kuchoka//: 2
Mcheni Mungu bila kuchoka mcheni Mungu kila wakati, mcheni yeye siku zote bila kuchoka//:2
Mashairi:
1. Usiku hata mchana mcheni Mungu bila kuchoka
2.Kwa maana hamjui siku wala saa
3.Kesheni mkiomba pia na kusali siku zote
4. Msiwasikilize wanaowadhihaki kwa kuwasema vibaya.