Mtunzi: David B. Wasonga
> Mfahamu Zaidi David B. Wasonga
> Tazama Nyimbo nyingine za David B. Wasonga
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: David Wasonga
Umepakuliwa mara 880 | Umetazamwa mara 3,738
Download Nota Download MidiKiitikio:
Wewe bwana u mwema, wewe u mwema(x2) umekuwa tayari, tayari kusamehe, na mwingi wa fadhili kwa wote wakuitao (x2)
Mashairi:
1.Ee bwana uyasikilize maombi, maombi yangu uisikilize sauti, sauti, sauti ya dua zangu
2.Siku ya mateso yangu nitakuita, kwamaana utaniitikia Ee Mungu wangu.
3. Katikati ya miungu hakuna kama wewe bwana hakuna kama wewe.