Ingia / Jisajili

Salamu Malkia Mama Mwenye Huruma

Mtunzi: Erick Mwaniki
> Tazama Nyimbo nyingine za Erick Mwaniki

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Mama Maria

Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata

Umepakuliwa mara 184 | Umetazamwa mara 1,137

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Salamu Malkia Mama mwenye huruma uzima na matumaini yetu salamu *2 1. Twakusihi ugenini hapa sisi wana wa Eva, tunakulilia na kulalamika na kuhuzunika, bondeni huku kwenywe machozi 2. Haya basi mwombezi wetu mwombezi wetu, utuangalie kwa macho yako yenye huruma, macho yako yenye huruma 3. Na mwisho wa ugeni huu utuonyeshe, Yesu mzao mbarikiwa wa tumbo lako ee mpole ee mwema mpendelevu Bikira maria

Maoni - Toa Maoni

Reuben Aug 16, 2024
Kongole

Toa Maoni yako hapa