Mtunzi: John William Kasole (Joka)
> Tazama Nyimbo nyingine za John William Kasole (Joka)
Makundi Nyimbo: Miito
Umepakiwa na: frank moses
Umepakuliwa mara 866 | Umetazamwa mara 2,845
Download Nota Download Midi(I & III) Nitume mimi nikahubiri injilinitume mimi, unitume Bwana
(II) Nitume mimi nikahubiri nitume mimi, unitume Bwana
(IV) Nitume mimi nitume mimi- na nitume mimi
(b) Nisikiapo nitaitika nikawakusanye kondoo wako Bwana kundini (kweli)
(I & III) Niite mimi nitaitika itika niite mimi uniite- Bwana.
(II) Niite mimi nitaitika niite mimi, uniite Bwana.
(iv) Niite mimi niite mimi na niite- Bwana.
(I& III):Niimarishe nijaze nguvu nisiteteleke Bwana nipe nguvu- Bwana
(II)Niimarishe nijaze nguvu lelele Bwana, nipe nguvu Bwana
(IV) Niimarishe nijaze nguvu- nipe nguvu Bwana.
(b)Unipe nguvu za kumshinda mwovu shetani pindi atakaponivuruga (Kweli
(I & III) Nijaze nguvu za kukemea mapepo na mashetani na maovu- yao
(II) Nijaze nguvu mape-po- na mashetani, na maovu yao
(IV) Nijaze nguvu za kukemea- - maovu yao
(I &III) Nitaenenda kadili ya mafundisho yako eh Bwana, mafundisho- yako.
(II) Nitaenenda fundi-sho- lako eh Bwana, mafundisho yako.
(IV) Nitaenenda yako eh Bwana- mafundisho yako
(b) Nitumikishe eh Bwana wangu, nifanye vyovyote kadili – ya mapenz ya-ko (Bwana)
(I & III) Ninahitaji kutumikishwa kadili ya mapenziyo, ya mapenz yako.
(II) Ninahitaji kadi-li- ya mapenziyo ya mapenzi yako.
(IV)Ninahitaji ya mapenziyo- yamapenzi yako.