Ingia / Jisajili

Tu Tofauti Tukamilishane

Mtunzi: John William Kasole (Joka)
> Tazama Nyimbo nyingine za John William Kasole (Joka)

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: frank moses

Umepakuliwa mara 212 | Umetazamwa mara 920

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

HAKIKA TUPO TOFAUTI MAPENZI YA MUNGU YATIMIE KWA WOTE (Wandugu) KWA WENYE UWEZO, MUWASAIDIE WENYE MAISHA MAGUMU

TAZAMA TUPO MASIKINI TUPO MATAJIRI NA TUKAMILISHANE (Upendo) KWA WENYE UWEZO TUSIWADHARAU WENYE MAISHA MAGUMU

MUNGU KATUPA TUKAMILISHANE.

MABETI

  1. Matajiri wenye raha, masikini wenye shida. Wakucheka wenye raha, wa kulia wa huzuni - yote mapenzi ya MUNGU tukamilishane
  2. Wenye nacho mjitoe saidia masikini. Masikini mjitoe kuombea matajiri - tumetofautishwa na tusaidiane
  3. Wenye afya wafariji wale wote walo wagonjwa. Tulo huru tujitoe kwao wote walofungwa - MUNGU atatujaza kwa mema tulotenda
  4. Tujishushe tujishushe, tuepuke kujikwaza. Tujivue tujivue tuepuke kujiona - Unyenyekevu ndio tunu ya wenye haki

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa