Mtunzi: Valentine Ndege
> Mfahamu Zaidi Valentine Ndege
> Tazama Nyimbo nyingine za Valentine Ndege
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Mika Wihuba
Umepakuliwa mara 572 | Umetazamwa mara 1,897
Download NotaNami nitakaa nyumbani mwa Bwana milele, nami nitakaa nyumbani mwa Bwana nami nitakaa nyumbani mwa Bwana, (milele milele milele milele nami nitakaa nyumbani mwa Bwana milele milele x2).
2.Hunihuisha nafsi yangu huniongoza katika njia ya haki kwa ajili ya jina lake jina lake, nijapopita katika bonde la uvuli wa mauti sitaogopa sitaogopa mabaya.