Mtunzi: Reuben Maghembe
> Tazama Nyimbo nyingine za Reuben Maghembe
Makundi Nyimbo: Majilio
Umepakiwa na: Reuben Maghembe
Umepakuliwa mara 447 | Umetazamwa mara 1,873
Download Nota Download MidiKiitikio
Dondokeni enyi mbingu toka juu,
Mawing yammwage yammwage mwenye haki *2
(Nchi) nchi ifunuke (nchi) nchi ifunuke
Nchi ifunuke na kumtoa Mwokozi *2
Beti
1. Nchi ifunuke kumtoa Mwokozi (a) nayo itoe haki ikamee pamoja
(b) nayo itoe haki ikamee pamoja
2. Imbeni enyi mbingu imbeni (a) pigeni kelele enyi mabonde ya nchi
(b) pigeni kelele enyi mabonde ya nchi