Ingia / Jisajili

Moyo wangu umekuambia II

Mtunzi: Reuben Maghembe
> Tazama Nyimbo nyingine za Reuben Maghembe

Makundi Nyimbo: Kwaresma | Zaburi

Umepakiwa na: Reuben Maghembe

Umepakuliwa mara 333 | Umetazamwa mara 2,143

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

KIITIKIO

Moyo wangu umekuambia, Bwana uso wako Ee Bwana uso wako uso wako nitautafuta uso wako *

Wewe umekuwa, msaada wangu msaada wangu wala usiniache Ee Mungu wa wokovu *2

 

BETI

1.Ba ba na ma ma ya ngu wa me ni sha a cha Mu ngu wa ngu Ba li we we Bwa na u ta ni ka ri bi sha kwa ko Mu ngu wa ngu u ta ni ka ri bi sha

2. Bwana usikie kwa sauti ninalia kwa sauti ninalia unifadhili na unijibu ee Mungu wangu

3.Bwa na u ni fu ndi she nji a za ko na ku ni o ngo za ka ti ka nji a u ni o ngo ze ka ti nji a ya ko Bwa na nji a i li yo nyo ka



Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa