Mtunzi: Reuben Maghembe
> Tazama Nyimbo nyingine za Reuben Maghembe
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio | Zaburi
Umepakiwa na: Reuben Maghembe
Umepakuliwa mara 576 | Umetazamwa mara 2,803
Download Nota Download MidiKiitukio: Kama ayala aioneavyo, kama ayala aioneavyo shauku mito ya maji *2 Vivyo hivyo, vivyo hivyo nafsi yangu inakuonea shauku inakuonea shauku ewe Mungu wangu *2
Beti
1. Nafsi yangu inamwonea kiu, Mungu wangu aliye hai lini nitakapokuja nionekane mbele zake
2.. Niletewe nuru yako na kweli yako, Bwana ziniongoze zinifikishe kwenye mlima wako mlima wako mtakatifu
3. Machozi yangu yamekuwa chakula, cha mchana na usiku pindi wanaponiambia yupo wapi huyo Bwana wako
4. Nayakumbuka haya nikiweka wazi, nafsi yangu ndani yangu jinsi nlipokuwa nikienda nikienda na mkutano