Mtunzi: Stanslaus Butungo
> Mfahamu Zaidi Stanslaus Butungo
> Tazama Nyimbo nyingine za Stanslaus Butungo
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Stanslaus Butungo
Umepakuliwa mara 1,071 | Umetazamwa mara 3,022
Download Nota Download MidiKiitikio:
Siku zake yeye mtu mwenye haki, atastawi kama mtendex2 na wingi wa amani, na wingi wa amani, na wingi wa amni mpaka mwezi utakapo koma
Mashairi:
1. Ee Mungu umpe mfalme hukumu zako na mwana wa mfalme ha-ki yako
2. Kwa maana atamuokoa mhitaji alipo na nafsi za wahitaji ataziokoa
3. Jina lake zuri na lidumu milele yote pindi liwakapo jua liwe na wazao
4. Na awe na enzi toka bahari hata bahari toka mto hata kingo za- dunia