Mtunzi: Stanslaus Butungo
> Mfahamu Zaidi Stanslaus Butungo
> Tazama Nyimbo nyingine za Stanslaus Butungo
Makundi Nyimbo: Kwaresma | Mazishi | Zaburi
Umepakiwa na: Stanslaus Butungo
Umepakuliwa mara 1,641 | Umetazamwa mara 4,940
Download Nota Download Midi(Zaburi 86: 5, 8-9, 12, 15)
Kwa maana wewe Bwana U mwema, umekuwa tayari, umekuwa tayari kusamehe watu wote x2
1. Mataifa yoye uliowafanya, wote watakuja kukusujudia, watalitukuza jina lako Bwana maana ni kuu
2. Kati ya miungu hakuna yeyote wa kumlinganisha na wewe Bwana, wala matendo mfano wa matendo wa matendo yako
3. Lakini ee Bwana u mwenye rehema mvumilivu tena mwingi wa fadhili, unielekee na kunifadhili kunifadhili
4. Nitakusifu wewe Bwana Mungu kwa moyo wangu moyo wangu wote, nitalitukuza jina lako mi-lele yote