Mtunzi: Adolf A. Katambi
> Mfahamu Zaidi Adolf A. Katambi
> Tazama Nyimbo nyingine za Adolf A. Katambi
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Adolf A. Katambi
Umepakuliwa mara 103 | Umetazamwa mara 385
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Antifona / Komunio Dominika ya 16 Mwaka A
- Antifona / Komunio Dominika ya 16 Mwaka B
- Antifona / Komunio Dominika ya 16 Mwaka C
Bwana asema tazama nasimama mlangoni mlangoni nabisha mlangoni nabisha. x2
MASHAIRI
1. Mtu akiisikia sauti yangu na kuufungua kuufungua mlango mlango nitaingia kwake.
2. Nami nitakula pamoja naye pamoja naye, nitakula pamoja na yeye pamoja nami.