Mtunzi: Adolf A. Katambi
> Mfahamu Zaidi Adolf A. Katambi
> Tazama Nyimbo nyingine za Adolf A. Katambi
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Adolf A. Katambi
Umepakuliwa mara 123 | Umetazamwa mara 248
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Antifona / Komunio Dominika ya 13 Mwaka A
- Antifona / Komunio Dominika ya 13 Mwaka B
- Antifona / Komunio Dominika ya 13 Mwaka C
Baba ninawaombea nao wawe ndani yetu.
(Ili ulimwengu upate kusadiki ya kwamba wewe ndiwe uliyenituma) x2
(Wote wawe na umoja kama wewe Baba ulivyo ndani yangu nami ndani yako) x2
MASHAIRI
1. Wala si hao tu, ninao waombea, pia na wale watakao niamini.
2. Mimi ndani yao, nao ndani yangu, wawe wamekamilika katika umoja.
3. Utukufu ulonipa, nimewapa wao, wawe na umoja kama si tulivyo wamoja.